Friday, May 24, 2019

MITINDO MIPYA YA KUSUKA NYWELE

MITINDO MIPYA YA KUSUKA NYWELE 


***karibu*karibu*karibu*karibu*karibu***
Mwanamke urembo,mwanamke mitindo. Kuna mitindo mingi na mbalimbali inayoendana na ulimwengu wa mitindo ya kusuka nywele kwa kutumia aina tofautitofauti ya Rasta.
Mitindo hii ya kusuka nywele hubadilisha mwonekano wa mwanamke kuwa mzuri zaidi. 
Katika mitindo hii, hutumika aina tofautitofauti za rasta zikiwemo prima,angel, bongo nazo zinaonekana katika picha hapo chini;

       



Baadhi ya mitindo ya kusuka nywele kwakutumia Rasta ni Kama zifuatazo;






































No comments:

Post a Comment

🤔Jifunze

🏃🏃🏃